Sensa itasaidia kivipi kuboresha huduma za jamii.Unataka kumaanisha uchache wa hospitali,wahudumu wa afya,na huduma mbayambaya zitolewazo na serikali zinasababishwa na kutokuwepo sensa?kila sehemu kuna kiongozi na wanajua changamoto za maeneo yao ukianzia mwenyekiti wa mtaa,wakurugenzi,wakuu wa wilaya na mikoa,wote hawa wanajua uduni wa huduma za jamii ,hivyo serikali ingeboresha pasipo kusubili sensa.Faida ya sensa ni moja tu nayo ni kujua idadi ya watu basi.Hizo zingine mnazozitaja hazihitaji uwepo wa sensa kuzijua