I see watani zangu CCM hadi nawaonea huruma. Kama itapata hata wabunge 20 itkuwa bahati kubwa .Mr Sita mwenyekiti wa BMK kaimaliza kabisa, huku vijijini watu hawataki kusikia kabisa habari za CCM wanaitwa wasakiti na wanyang'anyi wa fedha za wanyonge huku watoto wao wakisomea chini ya miti na kukalia mawe na viloba vya mchanga.