huku ni kujidanganya.. kawaulize nccr mageuzi, mwaka 1995 walikuwa na wabunge kibao wa kuchaguliwa ambao hakuna chama kilichowahi kufikia hata hii chadema
ngoma ikivuma sana hupasuka
Mwaka 2015: Wabunge 215 Madiwani 1515 Halmashauri: 115
sure!cdm ni zaidi ya ngoma ni grand piano ndio maana ikitoa muziki unarindima nchi nzima ...ngoma ikivuma sana hupasuka
Mkuu pia kuna takwimu ya halmashauri za chadema pia huongezeka kila awamu, unaweza kutupatia?Hebu pitia takwimu fupi za CHADEMA
MWAKA1995 tulishinda Wabunge 4, madiwani 42.
Mwaka2000, tulishinda wabunge 5 madiwani 75.
Mwaka 2005 Wabunge 11 madiwani 103"
Mwaka 2010 Wabunge 48, Madiwani. 467.
itakua vp 2015 kama si kwenda IKULU? Mchango wako ni muhim sn kufanikisha CHADEMA kushika dola.haa!!
Ianze kwanza kupasuka ile ya upande mwingine kwa kuwa imejaa uongo, matusi, kejeli, ahadi hewa, udhaifu, ulegelege etc. Kwa haya na mengine ni lazima ngoma ipasuke. I am neutral civilian with an open mind, and long eyes!!
Mkuu pia kuna takwimu ya halmashauri za chadema pia huongezeka kila awamu, unaweza kutupatia?
cc Tumain Makene . Ben Saanane
Mkuu, pamoja na matatizo hebu nijulishe toka 1995-2010 hadi sasa zipo ngapi?tatizo zote zina migogoro mkuu.. mfano ni mwanza na iliyokuwa arusha mjini, ilemela na moshi ambapo kuna ufisadi wa kujiundia safari hewa kwenda rwanda kutalii ili kujimegea rasilimali za wananchi maskini
Kumbe inavuma eh!ngoma ikivuma sana hupasuka
Mkuu pia kuna takwimu ya halmashauri za chadema pia huongezeka kila awamu, unaweza kutupatia?
cc Tumain Makene . Ben Saanane
Mkuu, pamoja na matatizo hebu nijulishe toka 1995-2010 hadi sasa zipo ngapi?
huku ni kujidanganya.. kawaulize nccr mageuzi, mwaka 1995 walikuwa na wabunge kibao wa kuchaguliwa ambao hakuna chama kilichowahi kufikia hata hii chadema