Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Mshabiki maandazi, hajui hata kinachoongelewa, hizo ni takwimu za premier leag, moja ya hayo magoli alioifunga man utd, halikua la premier leag, lilikua la FA cupTakwimu zako fake bana kante kawatungua manu mara 2 weka sawa anagoli 2
Kwani hizo takwimu nimetengeneza mimi? Halafu hiyo ni ligi kuu sasa ukisema uweke takwimu nyingine Pogba atamzidi mbali mno Kante.Takwimu zako fake bana kante kawatungua manu mara 2 weka sawa anagoli 2
Huna unalolijua wewe kaa kimyaHiyo heading imeeleza takwimu za nini? We utakua kitumbua
Angalia yanavyotoka povu manyau banaHuna unalolijua wewe kaa kimya