TAKUKURU yamkamata meneja wa BEVCO Ltd

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,877
Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata Rwegasira Samson kijiji cha Kinang’weli, Itimila Mkoani Simiyu

Rwegasira alijificha baada ya TAKUKURU kutangaza kuwa inamtafuta ili kumjumuisha kwenye kesi ya Uhujumu Uchumi namba ECC 87/2020 iliyokuwa na washtakiwa wengine watatu

Kesi hiyo inahusu makosa ya Rushwa, Ubadhirifu, Utakatishaji fedha na Ukwepaji kodi unaohusisha zaidi ya Tsh Bilioni 1.6

Rwegasira alikuwa ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya BEVCO limited inayojihusisha na uagizaji na uuzaji wa vinywaji vikali kutoka nje ya nchi
1606233632442.png
 
Mhaya unajificha usukumani halafu mida yote uko Facebook na WhatsApp na Twitter kwenye simu uliyosajili kwa jina lako.
Unakula chips kuku waliokuzunguka wanakula makande?
Yaani ulikua Kama beacon .....
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata Rwegasira Samson kijiji cha Kinang’weli, Itimila Mkoani Simiyu

Rwegasira alijificha baada ya TAKUKURU kutangaza kuwa inamtafuta ili kumjumuisha kwenye kesi ya Uhujumu Uchumi namba ECC 87/2020 iliyokuwa na washtakiwa wengine watatu

Kesi hiyo inahusu makosa ya Rushwa, Ubadhirifu, Utakatishaji fedha na Ukwepaji kodi unaohusisha zaidi ya Tsh Bilioni 1.6

Rwegasira alikuwa ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya BEVCO limited inayojihusisha na uagizaji na uuzaji wa vinywaji vikali kutoka nje ya nchi
View attachment 1633909
Au majina yanafanana!!?
 
Meneja wa fedha boya sana mtu ulishapiga pesaa badala ya kuvuka boda unaenda jificha usukumani yaani muhaya mjinga kabisa
 
Back
Top Bottom