SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Wakuu
ni juzi tu katika sakata la upangaji nauli za DART serikali ilishtushwa na kushangazwa eti mladi wa UDA/DART haukuwa na BUSINESS PLAN.
Sasa kituko ni hiki
ni juzi tu katika sakata la upangaji nauli za DART serikali ilishtushwa na kushangazwa eti mladi wa UDA/DART haukuwa na BUSINESS PLAN.
Sasa kituko ni hiki
- kwa kuwa Simon group ni wageni katika hii biashara ya usafirishaji, ilikuwaje TIB wakawapa mkopo mkuubwa bila kujilizisha na mpango mkakati (BUSINESS PLAN) wao wa namna watakavyotumia hizo pesa kuzalisha
- Bank inatoaje pesa bila kupitia business plan ya mradi ambao pesa zitawekezwa, ili kufanya risk assessment
- JE hii bank ina kitengo cha 'RISK and Capital Security' or whatever they call it
- kama kabla ya kuanza operations tayari Simon Group wanasema wana madeni ya kufa mtu, Je bank walipitia financial statement zao kabla ya kuwapa mkopo ili kujilidhisha kama wanakopesheka.
- mpaka sasa wamiliki wa hii company ni utata, mkurugenzi Simon Kisena aliwahi kumkana Kapuya, juzi anasema huyo Kapuya ni mmiliki, na akamkana kikwete Alphan, taarifa za ukaguzi zinamtambua Kikwete Alphani. Bank iliipaje mkopo company ambayo Wakurugenzi wake kwanza hawajuani, pili hawajui nani ni mmiliki na nani si mmiliki