Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe.
Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya chama kwa uchaguzi ujao.
Kwa kavideo hako ni mabalozi na wajumbe wa mabalozi ambao idadi yao ni wajumbe wapatao 4,225.
Ni kwamba haiishii hapo, mpango ni kuwafikia wajumbe wote wa manispaa ya Songea ambao wapo takribani wajumbe 9,000.
Ilhali akitumia gari la wizara kufanya mambo hayo. Kamati za Siasa Wilayani na Mkoa mmekubali kununulika af mbili mbili? Mwanasheria anakuwa wa kwanza kutoa rushwa, aroo🤣🤣
Au ndio mambo yao tuwaachie wenyewe kama anavyosemaga Smart911 na Mahondaw tuwe nao sambamba mpaka wamalizane?😂 Lini hamna, inauma kodi zetu zinaenda kuliwa na wajumbe kizembe
TAKUKURU kazi kwenu.