Inawezekana umeiweka makusudi ila lengo ulilokusudia ndio linaifanya hoja kuwa neutral maana wakristo na waislam wote wameshiriki kwa mujibu wa thread sasa hapo dini ina role gani???!!!
Hoja ya kitaifa ukiipa sura ya kisiasa au dini basi jua inakufa kifo cha kawaida
Ufisadi wa Loliondo ulianzishwa na Katibu Mkuu wa CCM. Soma makala za Marehemu Stan Katabalo katika gazeti la Mfanyakazi na utayakuta yote. Kama mwahitaji nakala kwa kumbukumbu zipo.