Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,586
Kama mwanamivhezo napenda nikujulishe kama ndugu Wa karibu KWA Mara yakwanza serikali inaanza tumbua majipu ya michezo
Wahusika zaidi n wale wanaouza tkt nje ya mabasi ya TFF
NA WALE WANAOUUZA TKT MIKONONI NJE
WALE WOTE WALIOGETINI WANAOINGIZA WATU KWA RUSHWA
NA KAMA UTAONA KWENYE BASI WANAKWAMBIA UNA ALF KUMI AMA KUMINATANO TKT YA 7000 TAFUTABPOLISI NJE SHIKA NAMBA ZAKE NENDA NAE NDANI YA BASI MWELE HALIHALISI..HAPO NJE KUTAKUWA NA VIJANA WAKAZI WAKISIKIA WATAKUSAIDIA ZAIDI
USINUNUE TKT NJE ..VIPO VITABU VINGI FWKI VIMETENGENEZWA NA HIVI VINAPEWA WALE MATEJA KULE NYUMA YA ZILE BAR..WARNING MSIDAKWE
LIPA KWENYE BASI..NA KAMA KUNA BASI WANADAI AMNA TKT WAKATI WATU WANAPITA WANACHUKUA KISA UKUWAPA HELA WANAYOTAKA PAZA SAUTI NJE VIJANA WAMEMWAGWA WA KUTOSHA
TKT HALISI ZINA ALAMA AMBAZO WALIOGETINI WAMELEKEZWA ..WARNING USINUNUE TKT KWA MASELA MKONON UTALIA
USIJE KUMBUKA HUU UZI
KILA LA KHERI SIMBA NA YANGA FUNS