Wana JF baada ya Takukuru na Dpp kupoteza Imani kwa Watanzania sasa mnaweza kurudisha Imani yenu kwa kufanya haya; kamateni Mawaziri wote watakaopigwa chini kwa kashfa za rushwa na Matumizi mabaya ya Madaraka hapo mtaeleweka tofauti na hapo sitoshangaa kama katika katiba Mpya Wananchi watataka nafis na vitengo vyenu vifutwe,
CAG amevuna sifa nyingi sana na hadi sasa naskia Bajeti yake inapandishwa kila kukicha,ukiuliza leo wananchi wote watasema CAG office inafaa..
Mjitafakari kama mnatakiwa kuwepo...