Pesa haitoshagi mzeeMENEJA pengine mshahara ni TZS 4,000,000 plus unanaswa na rushwa ya TSHS 270,000. Kwanini maofisa wenye mishahara mikubwa msitumie hiyo mishahara yenu kama mitaji kulima au kufanya biashara?
Sema huwa hatupewi mrejesho wa mahakamani.Laki 2? Kazi kwisha na kortini unapelekwa. Njaa hatari
Takukuru wanakuwa na kigugumizi kuwakamata trafic,wakirejea kauli ya Jiwe.Kwamba hizo 5000 ni za kubrashia viatu.takukuru bado hamjafanya kazi... trafiki inamaana hamuwaoni? ..mbona wanakamatika kirahisi mnoo...kuna wale wa asubuhi mida ya saa1 mpaka saa3 asubuhi. wakiona pick up, dala dala na malori ya mchanga lazima yasimamishwe. ila gari binafsi zinaenda.. kila kona wapo wengi.
nakumbuka kipindi cha awamu ya MkAPA, Takukuru iliwadaka sana mapolisi na mahakimu. yeye alijua unyeti wa hizo sehemu
Trafiki hawachukui rushwa, kwa muujibu wa mkuu ile ni pesa ya kung'arishia viatu vyao vinavyopigwa vumbi mchana kutwa wanaposimama barabarani.takukuru bado hamjafanya kazi... trafiki inamaana hamuwaoni? ..mbona wanakamatika kirahisi mnoo...kuna wale wa asubuhi mida ya saa1 mpaka saa3 asubuhi. wakiona pick up, dala dala na malori ya mchanga lazima yasimamishwe. ila gari binafsi zinaenda.. kila kona wapo wengi.
nakumbuka kipindi cha awamu ya MkAPA, Takukuru iliwadaka sana mapolisi na mahakimu. yeye alijua unyeti wa hizo sehemu
Mleta maada nadhani umepata taarifa juu kwa juu bila kutafuta tarifa kwa kina, huyo mzee anae tuhumiwa kupokea rushwa ya 270000, sio kweli bali TAKUKURU Pangani ndo walipokea rushwa ili kuja kumzalilisha huyo meneja wa bandari Kipumbwi wakishirikiana na Umoja wa wenye Madau Kipumbwi ambao wanaukiritimba ulio kithiri kijiji hapo, pamoja na serikali ya kijiji walikuwa wanaingilia majukumu ya meneja huyo. Meneja huyo baada ya kuona anaingiliwa majukumu yake alimuandikia Mkuruhenzi Mtendaji(W) Pangani juu ya sitogahamu hiyo. Mkurugenzi baada ya kupata barua hiyo alitoa mwongozo kwa wa majukumu kwa Mtendaji kijiji na Mwenyekiti kijiji Kipumnwi, kuto muingilia meneja bandari kipumbwi. Kitu kilicho firahisha sasa baada TAKUKURU Pangani kumtia nguvuni meneja bandari Kipumbwi, M/kiti kijiji alipika biriani siku ya tarehe 22/06/2020 Kujipongeza kwa kazi alioifanya pamoja na mjumbe wake Alfan Subeti pamoja na Issa Farahani bila kumsahau mmiliki wa dau la SURA SI ROHO Sabri Abdi Omary wote hawa wakazi wa kijiji cha Kipumbwi. Pia TAKUKURU Pangani baada ya kumshikilia meneja bandari Kipumbwi walishinikiza mzigo uliokamatwa na tuhuma udafirishwe mara moja kwenda Unguja, huku mamlaka ya bandari walitaka mzigo huo isitoke kwani ni sehemu ya ushahidi zidi ya tuhuma za rushwa ya Kiasi cha fedha za kitanzania shilingi 270000, pia TAKUKURU Pangani walishinikiza kama mzigo wenye tuhuma hautaruhusiwa kitoka basi meneja wa bandari kipumbwi hato pewa dhamana.
Kwa kifupi MARWA, TAKUKURU Pangani ulizingua sana.
Pesa haitoshagi mzee
Ova
Kwa meneja wa bandari kuwaza Harrier ni jambo la ajabu, mshahara anakula wa maana,hela ya pango na posho kibao.Haiwatoshi kwakua wanawaza harrier matako ya nyani
Huyu inatakiwa awaze Discovery 3, BMW X3/X5, Toyota Prado, Ford Ranger.Haiwatoshi kwakua wanawaza harrier matako ya nyani
sasa nimeelewa, ila ni tofauti kabisa na kipindi cha Mzee Mkapa. mzee Mkapa alijitahidi sana kupiga vita rushwa hasa zile zinazokandamiza wanyonge ambao ndio wengiTakukuru wanakuwa na kigugumizi kuwakamata trafic,wakirejea kauli ya Jiwe.Kwamba hizo 5000 ni za kubrashia viatu.