Take me Back

Rudi kwenye asili mzee ,leo yawezekana ungekuwa unakula kwa urefu wa kamba yako ila unaoga mitusi mitandaoni kama brother Chande
Bado sera za CCM na utekelezaji wake haunivutii kurudi uko.

Leo nimebishana sana na mzee wangu ata yeye amekiri chama kimepoteza ushawishi. Atleast enzi za Magufuli.
 
Kipindi hicho baraza la mawaziri likitoka tunawahi kununua kalenda kweli tulikua viazi sana๐Ÿค”
Yaaani๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ