Take me Back

JaxenDL

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2022
Posts
668
Reaction score
1,521
Leo nilikua home kumuona Mzee wangu. Kwenye . Archive yake nikakutana na hili jarida limenikumbusha mbali. Nimewahi kua CCM chipukizi , tangu nilivo balehe tu nikapata akili nikawa mfuasi wa chadema. Tulikua tunabishana sana na mzee kuhusu mambo ya siasa maana nligeuka mpinzani wake 😁












Apa kuna mmoja amekua waziri






Lucas mwashamba yuko apa.






Hawa maswahiba tangu kitambo tu
 
kwahiyo kwa hiyari, kiburi na ubishi wako ukaamua kua upande wa wafuata mkumbo, right?

na huko hauna jarida la wafuata mkumbo wenzako sasa? au hawana historia?
 
 
kwahiyo kwa hiyari, kiburi na ubishi wako ukaamua kua upande wa wafuata mkumbo, right?

na huko hauna jarida la wafuata mkumbo wenzako sasa? au hawana historia?
Sio kufuata mkumbo mkuu, nilipevuka kifikra
 
Sio kufuata mkbo mkuu, nilipevuka kifikra
well done,

lakini gentleman,
ingelikua ni kupevuka kifikra, ungekua zaidi ya wafuata mkumbo ambao kirahisi sana hubebwa ufala wa kifikra na wajanja na kujitumbukiza kwenye hatari zinazowaumiza wenyewe.

ukipevuka kifikra,
hutegemewi kufuata mkumbo au kubebwa ufala wa kifikra kirahisi rahisi tu kama ilivyo kwa wengi huko uliko
 
Binafsi nilivutiwa na sera za upinzani mkuu.. ningeendelea kubaki CCM ndo ningekua nafuata mkumbo kwasababu tu mzee wangu yupo huko.

Sera ndo zilinivutia
 
Karibu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo mkuu.
 
huyo ndugu samia alikua na macho mazuri macho mlegeo, ila saiv mmh sitaki kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…