Take back that girl

Take back that girl

zamani mahusiano yalimaanisha ndoa. ilikuwa huwezi kutafuta binti bila sababu yoyote hasa free P. Inafika kipindi hata hao wanaolalamika kuwa hawaolewi baada ya kukaa miaka mingi kwenye uhusiano hawajui ni kwanini waliingia kwenye mahusiano. Utasikia wanasema eti tulikuwa tunachunguzana.
Kwa hiyo chanzo ya hiki kitu ni nini mkuu bila kusahau solution yake!
 
wadanganye warudi kwao waone! siku hizi watu wanaowa kwa ajali, siyo kufuatana na kumkuta bintinyumbani na bikra yake iko sealed, hakunahiyo, chukua mzigo tumia ukikunogea chukua jumla!
 
wadanganye warudi kwao waone! siku hizi watu wanaowa kwa ajali, siyo kufuatana na kumkuta bintinyumbani na bikra yake iko sealed, hakunahiyo, chukua mzigo tumia ukikunogea chukua jumla!
Hahahaaaa, kumbe Boko haram mpo wengi kweli lol!
 
kweli boko haram wamezidi kuwa wengi,for the ladies who are living with men without marriage you are doing the wrong thing......msg delivered
 
Habari za jioni waungwana!
Nadhani mmeanza vizuri mapumziko ya mwisho wa wiki. Jamani, mimi sitakuwa na mengi ila picha ifuatayo inasema yote! Hii kitu ni ya MMU na siyo JF photos ndo maana nimeileta hapa!
Hili ni wazo la wikiendi hii, lifanyie kazi!
View attachment 181357
CC. ng'wana ong'wa kulwa charming lady Mtambuzi King'asti benteke miss neddy Lala 1 The Boss Nyani Ngabu

Mkuu umeniita unadhani sijalipa mahari au?
Hii maneno labda mzee mwenzangu Asprin inamhusu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mwanamme wa kweli katika mahusiano anajua wajibu wake ni zaidi ya kugegeda mkuu!

my ambition is not to be mwanaume wa ukweli with regards to society's standards. my ambition in life is to be happy...gegedaring women is what makes me happy to be alive
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom