Take away imemponza home boy wetu

Kwa hiyo alikuwa na namna zenu kichwani??
Yah kwa vile mara nying huwa tunawasiliana basi alikuwa na nmb zng, na nmb za baadhi ya masela kichwan. Alitupigia kutujulish na kuomba msaada wa mawazo
 
RICHARD S. MABARA
 
mkuu hii chai una uhakika kweli uliyoweka ni sukari? anyway ngoja niendelee kunywa.
 
dah wakati mi cheni ndio sizijui sin ahabari na siwezi vaa hata kununu akabisaaa kupewa hata nikipokea siwezi vaa ila sitamuonyesha ...jamaa kapigwa macheni anapenda cheni sio
 
Alikuwa anapenda sana bling bling kwahiyo baadh alikuwa anavaa mwenyew na vingine alikuwa na plan ya kuvituma nyumban ili mkewe auze amalizie nyumba yao wanayojenga

Aache kumtumia pesa anamtumia cheni na mikoba ili auze wamalizie nyumba wanayojenga

..........Kudanganya watu wazima inataka akili sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…