Tajirika na Smart baby diapers

Tajirika na Smart baby diapers

kakolaki

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
1,611
Reaction score
2,018
Kampuni ya kuuza diapers Smart Baby na pedi chapa Cathy tunakaribisha wauzaji kwa kamisheni, hakuna mshahara ila unavyoleta mauzo yakishalipiwa na mteja unapata kamisheni yako papo hapo. Maana yake sisi tuna mtaji wewe una nguvu na akili pamoja tunaweza kusonga mbele. Sare zitatolewa bure. Wasiliana nasi; Mr Kelvin 0653969969
IMG_20190416_194416_214.jpeg
 
Wekeni mawakala mikoani ambapo hao wamikoani wakachukulie kwa mawakala wenu
 
Mi nataka kuuza dukani... Nipeni bei ya jumla
 
Kampuni ya kuuza diapers Smart Baby na pedi chapa Cathy tunakaribisha wauzaji kwa kamisheni, hakuna mshahara ila unavyoleta mauzo yakishalipiwa na mteja unapata kamisheni yako papo hapo. Maana yake sisi tuna mtaji wewe una nguvu na akili pamoja tunaweza kusonga mbele. Sare zitatolewa bure. Wasiliana nasi; Mr Kelvin 0653969969View attachment 1081599
Bei zetu na size zake
IMG-20190430-WA0004.jpeg
IMG-20190430-WA0003.jpeg
IMG-20190430-WA0002.jpeg
 
M huwa nanunua kwa namba, sasa hzo size sizielewi
 
Me nipo Dodoma naomba niwe wakala wenu nisambaze Dodoma na singida.
 
Back
Top Bottom