Tajiri Suhail muzammil

Kosa langu ni kusema ukweli..the way ulivyoandika kama sio umetoka uswahilini basi umeishia kidato cha nne una msongo wa mawazo kwa taarifa yako tu kaka zake hao jamaa nilisoma nao
 
yuko /hayuko safi maana mali za familia ,hao muzamill ni nyoko flan kule zenji mtandao wao wa biashara uko sawa ,mahitel real estates, maduka ya electronic ya vifaa genuine hapo ukiqa na pesa mawazo hata pasu hununui,!kila kitu kile chenyewe tu!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji123][emoji123][emoji123]
Kosa langu ni kusema ukweli..the way ulivyoandika kama sio umetoka uswahilini basi umeishia kidato cha nne una msongo wa mawazo kwa taarifa yako tu kaka zake hao jamaa nilisoma nao
 
Sema Wabongo Kwa Kufatilia Life za Watu ni Nyoko sanaa. Daaah 🤣🤣🤣

Yani wabongo utashangaa watakuambia hadi mambo yako ya ndani kabisa. Daah [emoji1487]🤣🤣[emoji16]
 
Afu znz huwa hakunaga tabia za kushobokea watu...
Bara mpaka bongo muvi anashobokewa!

Wana pesa ya mboga tu...
Zanzibar hawana kabisa mambo hayo, unaweza kwenda forodhani usiku unakutana na star wa bongo lakini watu hawana habari nae
 
Ni kweli ila sio kama mlo wake unamshinda. Hapa zenji ana range rover 2. Moja nyeusi na moja nyeupe na zote ameandika jina lake kwenye plate zikisoma SUHAIL. Ukikaa mlandege kwenye maduka ya vifaa vya ujenzi kuna barabara imekata. Anapita sana. Leo kama atapita nitakupigia picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…