Tajiri Niffer kuja na Big Brother Tanzania

Tajiri Niffer kuja na Big Brother Tanzania

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
6,503
Reaction score
18,949
Huyu mwanadada Jennifer Jovin(Niffer) ambaye kwa sasa ndio mwanamke mwenye IQ kubwa ya upambanaji ukilinganisha na vijana wenzie kama Zuhura wa Mondi, atahakikisha anawainua vijana wenzake, amedhamiria kuanzisha big brother Tanzania punde tu pilika pilika za uchaguzi zitakapoisha.

Kwa maelezo yake ni kuwa ameshapata wadhamini zaidi ya 20 ikiwemo na haki za kurusha matangazo. Mojawapo ya dokezo alilotupatia ni kuwa mshindi atakunja kitita cha milioni 500.

Kwa wasiomfahamu Niffer, ndiye kijana wa kike tajiri anayekuja kwa kasi ndani ya afrika mashariki na kati, anatajwa pia kama mwanamke mwenye mvuto zaidi kwa sasa barani Africa. Mwaka juzi alipopimwa IQ yake ilikuwa 101.

Baadhi ya vitu anavomiliki ni pamoja na apartments huko dasalama, maduka makubwa ya vipodozi, pia ana hisa kwenye baadhi ya makampuni makubwa duniani. Akizungumza na mwandishi wetu amesema watoto wakike wafanye kazi na kuacha kuwa omba omba kwa wanaume na wajipambanie kama yeye.
Pia amewataka kuacha kuoneana wivu na kuombeana mabaya.
IMG_3213.jpeg
IMG_3212.jpeg
 
Back
Top Bottom