Tajiri na Masikini katika picha

HUYO MOHAMED HUSSEIN UVAAJI GANI SA HUO HATA KAMA NDIO KUVAA SIMPLE ILA SIO KIHIVYO JAMAANI .

CHEKI HIYO KUBAZI YAKE HALAFU FANANISHA NA ZA WACHEZAJI WA WANANCHI (NA HIYO NDIO MAANA HALISI YA KUVAA SIMPLE YAANI KUBAZI YA KAWAIDA ILA WAMEPENDEZA)
 
Unakariri

wakati ukuta.
 
Wewe unataka kuvaa simple ndyo uvae kama wa kijani waliovaa?
hapo kuna usimple gani?

Simple hautakiw kuwa na mrundikano wa vitu vingi mwilini.
Kukariri nini?

wakati ukuta.
 
Kutokelezea siyo tatzo.. Tatzo uvaaji simple!
We sema tu unavutia kamba upande wako Mkuu. Mwisho wa siku kila mmoja asimamie anapopaamini Mkuu.

Mie naona Wananchi wametokelezea.

wakati ukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…