Tajiri Mkubwa Kuliko Wote Zanzibar

Tajiri Mkubwa Kuliko Wote Zanzibar

Kenny Hill

Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
65
Reaction score
61
Tajiri mkubwa kuliko wote Zanzibar Ni Noushad Mohamed akifuatiwa na Raza Mohamed Raza
 
Tajiri mkubwa kuliko wote Zanzibar Ni Noushad Mohamed akifuatiwa na Raza Mohamed Raza

mtabakia kutangaza majina ya wenzenu tu,.

Kijana fanya kazi acha kushinda mitandaoni utakufa maskini,.
 
wanafanya biashara gani? wanalipa kodi kiasi gani? nchi ya watu milioni 1 wanafanya biashara gani hadi wawe matajiri??
 
Tutajie na Maskini Mkubwa kuliko wote Visiwani
 
Tajiri mkubwa kuliko wote Zanzibar Ni Noushad Mohamed akifuatiwa na Raza Mohamed Raza
Neno Kigogo lilianzia kwa Noushad Mohammed baada ya kukamatwa na kiasi kikubwa cha dhahabu uwanja wa ndege JNIA na aliyekua waziri wa mambo ya ndani Augustino Mrema.Mrema akaamuriwa amuache mzigo ni wa kigogo
 
Ooyooo huwo muda wa kukaa na kuandika huwo uzuzu si bora ungekwenda kupalilia mikarafuu yako na hao wote ni wako pamoja na hao wa serikali mbili au wamekufukuza kazi kwa udokozi basi yatakushinda na kama unauchungu na hao basi nawe jitokeze uwe mgombea wa uraisi sawa na penye riziki hapakosi ufitna uhasadi uchoyo uzandik wa maisha na ndo maana kila kukicha mnabaguwana kwa hizo rangi nyeupe na ngozi nyeusi allam siik
 
Back
Top Bottom