Tajiri keshasema

Hata mimi nikiwa sonko nikaja kufanya maamuzi hayo mutanikandia nyie
 
tukubali tusikubali Jack yupo kipesa lakini suala la mapenzi (namaanisha kuridhishwa/kukunwa vyema yaweza kuwa ndoto) afya ya mzee ni dhoofu sana na hasa kipundi hiki cha Magu walimtikisa sana kiasi kwamba ameponea chup chup kuwa na stroke
Kipindi hicho kulikuwa hakuna vumbi la Kongo kwa Sasa dawa za kubusti zipo nyingi mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumzungumzi mtu usio mjua nalo nitatizo

Huyu mzee ukiwa naye Jim anakuto kamasi
Mzee yuko fit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mzee kama Mengi unadhani hastahili kupendwa, Mapenzi ni zaidi ya kukunwa.
 
Mkuu mzee kama Mengi unadhani hastahili kupendwa, Mapenzi ni zaidi ya kukunwa.
anastahili sana, lkn utifauti wa umri utakuwa na matatizo majubwa hapo mbeleni kwa mmoja endapo kila mtu atapewa miaka yake kamili ya kushi, huyo ni mzee na mke ni kijana mbichi...tafakari

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…