Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu
Yashanipiga sasa sinabudi nielewe
Siwezi kung'ang'ania maana sio fungu langu
Japo ni shida ila, nitabaki mwenyewe.
ohh ila, mpe shukrani kwa kuniumiza suraya
Mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu
Na asisikie asilani, mwambie mapenzi mabaya
Hata angali hai Kairuki asingetibu gonjwa langu..
Tatizo mi bado, nilipoteleza nkakosa sipajui
Mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui
Ubaya, kinacho niumiza, maneno neno maneno
Mara kwa ndugu rafiki, kwanini anawapa misemo. ...
Ukimwonaaaa