Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,449
25,360
Wakuu leo nataka tutaje watu watatu ambao wanaokufanya uendelee kuipenda JF kiasi kwamba usipoingia JF unakuwa unawakumbuka sana

Pia hata ukisikia hizi tetesi za huenda huu mtandao wetu pendwa ukifungiwa utawamiss sana

Tukianza na mimi nawakubali hawa

1)Mo 11

Huyu dogo huwa nacheka sana kila nikiona comment yake


2)Le mutuz

Huyu jamaa huwa pia ananifurahisha sana aisee mpaka najiuliza kama alishawahi kuugua ukichaa enzi za utoto wake maana majibu yake na umri wake aisee ni vitu viwili tofauti

3)Brave one

Huyu dogo naye thread zake zimetulia sana ,ukitaka thread za mastaa basi mtafute huyu jamaa mpaka najiuliza huyu jamaa anapataga wapi habari maana zingine ni nyeti sana yani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom