Ana sifa ya ubishi na king’ang’anizi wa kupita hata pasipo njia,,sema huwa wanamkaribisha wenyewe kwenye vichochoro vyao ,yakibuma mambo unaskia tukimkamata tunamfunga miaka 30 jera.
Abdallah huyo si Athumani, mkuu!!
Anatia watu aibu sana bwana athumani mnaenda kwenye mechi mmefika kule ugenini badala acheze ye analala kabisa hataki kuamka