Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

@munamunge,inaweza kuwa hizo zote zina maudhui ya druglords,lakini mactor wapo wa kimexico na kimarekani
 
Binafsi sijui kwanini game of the throne imekuwa gumzo,bora hata prisonbreak baada ya maneno mengi niliamua kuicheck na nika appreciate,lakini hii game of the throne sioni namna gani itaizidi hii nayotazama sasa ya ,Lord of the skies,kina jitu kumbuka Aurelio cassila,mnyama Chema venigar,mzee Feo,Rais omar Tellane,kijana Victor mwana wa chikota,katili official na schemer Engineer mzee wa mwendo pole bila kumsahau military strategist Harvey,Tim rawling etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom