TAJA MATATIZO YALIYOWAKUNBA WATANZANIA MWAKA 2017

vmoney

Member
Dec 30, 2017
16
6
Yangu
(1)mateso kwa vijana(no ajira)
(2)siasa mchezo mkali
(3)Maisha magumu
(4)...................................
 
Tatizo kubwa kabisa limekuwa/litaendelea kuwa kuimba matatizo.Huponi kwa kusema naumwa.
 
Tetemeko la ardhi Kagera ,Ajali ya watoto wa shule ya luck Vincent. nk
 
Back
Top Bottom