torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,806
- 9,303
tuanze na ki definition hiki cha form two.... misimu ni aina ya maneno yanayo ibuka au kuzuka na kutoweka kwa kipindi fulani, kibongo bongo tuna mineno mingi sana amabayo ina zukaa na kupotea kwa kipindi maalum hususani kwa mitaani humu kwa wasela
kafulia - hii ilivuma sana kwenye ze komedi na raia wakaipokea
utajiju - kwa dada zetu ilijumika sana miaka hiyo
kuchakachua - hii kuna kipindi wese lilikuwa adimu sana watu wasi mix na mimaji kwanini!! ndio ikawa kuchakachua
BASHITE - hii ya kileo bado aijachuja sijui itadumu kwa muda gani!
bichwa langu halina kumbukumbu vizuri! wakuu ongezeeni na mnayoyajua nyie
wakuuu!