Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 553
Wana baraza heshima kwenu!
Leo ningependa watu watutajie kitu walicho kiona kama kero kwenye serikali ya awamu ya tano chini ya mh. JPM. Utaje jambo/tukio au mwenendo ambao unauona kama sii sawa kwa mtazamo wako.
Nikianza mimi, kitu nisichokipenda kwenye hii serikali ni katazo la shughuli za kisiasa.
Hili katazo linanihuzunisha maana wananchi wananyimwa fursa ya kushiriki kazi halali ambayo ni siasa.