Taja huu mji gani?

Taja huu mji gani?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
47,527
Reaction score
101,638
na ni sehemu gani?
 

Attachments

  • dar night.jpg
    dar night.jpg
    33.9 KB · Views: 613
Bebii.....si umeshatuambia kuwa ni Dar night......? au unataka tuseme ni wapi tena........
 
mbagara kiburugwa kwenye kona ya kwenda kwa lurenge
 
Hapo ni downtown Dar es Salaam by night...

Most likely hii picha imepigwa kutokea Golden Jubilee Towers (PSPF Bulding), mtaa wa Ohio.

La hasha itakuwa ni kutokea kwenye roof ya ghorofa la Shirika la Posta

attachment.php
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom