mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 946
- 771
Leo nilikuwa Arusha. ...nilikuwa naelekea kijenge kuna Mashimo wawili kwenye Daraja la kijenge kwa magari yanayotoka mjini ni shida...wahusika rekebisheni
...huyu mbweha alitaka tu watu wajue na yeye kafika Geneva ya Africa!Sasa umeenda kijenge umekuta mashimo mawili bararani ukaleta uzi, Sasa ungeenda barabara ya ungaltd kuelekea engo au barabara ya ungaltd kwenda uswahilini, si ungeanzisha forum yako kabisa?
Nnaweza kuwa baba yako kuwa na adabu. ...na pia nnshaacha kuhesabu miji nliyofika maana sio muhimu...jitahidi uwe na mawazo kama dada yako....huyu mbweha alitaka tu watu wajue na yeye kafika Geneva ya Africa!
Mtaa wa Lumumba vipi....?maana huu nao miaka ile ulikuwa jipu.Weeee... Mkuu hapo patamu. Unajua huku kwetu mwanza kuna kipande kidogo tyu cha barabara kama miter 900 hivi kinaitwa PAMBA ROAD alaf kipo katikati ya jiji yana kila mwaka kinatengenezwa ila mashimo huwa hayaishi.... Yan kinanikera mm bas tyu,
....teh teh teh..sawa dadaangu!..tatizo una "Kitu" ila watu hawakutii!Nnaweza kuwa baba yako kuwa na adabu. ...na pia nnshaacha kuhesabu miji nliyofika maana sio muhimu...jitahidi uwe na mawazo kama dada yako.
Humu wahusika wanasoma na barabara zitarekebishwa taja yenu yenye Mashimo