kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,595
Toka mwaka 1949 Taiwan ilivyojitenga na China bodo nchi hiyo inagoma kuutambua Uhuru wa Taiwan hali ikifikia kutishia kutumia nguvu ya kijeshi endapo Taiwan itazidi kujitangazia Uhuru wake!....Uchina ana hofu ya nini?
Rais wa Uchina Xi Jinping ameonya kuwa kamwe hatairuhusu 'Jimbo la Taiwan' kuwa taifa huru.
Matamshi ya bwana Xi yamekuja miezi miwili baada ya kisiwa hicho kumchagua raisi mpya Tsai Ingwen.
Rais huyo mteule ataapishwa mwezi Mei mwaka huu.
Taiwan ilijitenga toka China mwaka wa 1949 baada ya kumalizika kwa vita vya wenyeye kwa wenyewe.
Tangu hapo Taiwan inajitawala yenyewe lakini mataifa mengi hayajatambua utaifa wao.
Uchina imeionya Taiwan kwamba itatumia nguvu endapo itaendelea na harakati hizo za kujitangazia kuwa taifa huru.