TAIRI za discover 255/55/R19

TAIRI za discover 255/55/R19

tax services

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
403
Reaction score
332
Zimetumika hpa hapa mjini sababu ya kuuza ni gari inatarajia kusafir masafa marefu unaenda Kenya then Uganda ndio maana zimevuliwa zipo moroko airtel kama zinavyoo onekana hapo ziko poa sana
IMG-20180609-WA0005.jpg
IMG-20180609-WA0001.jpg
IMG-20180609-WA0002.jpg
IMG-20180609-WA0003.jpg
IMG-20180609-WA0005.jpg
View attachment 798513
IMG-20180609-WA0003.jpg
IMG-20180609-WA0002.jpg
IMG-20180609-WA0001.jpg
View attachment 798513
IMG-20180609-WA0003.jpg
IMG-20180609-WA0001.jpg

Nipeni Bei naweza kuletea ulipo 0785096659
 
Dah,
Zingekua 215/70 R16 ningezibeba fasta
 
Duh, we mtaalam sana,
Kili Time hiyo
haaa haaa haaa haya bhana
nimeotea kwa sababu rav 4 hasa kilitime ikifungwa size hiyo ya tairi ulizosema huwa inapendeza sana na wengi hupenda kufunga size hiyo 215/70/16 kwa sababu ni pana kwa hiyo gari linapendeza na balance huwa kubwa.
 
TAIRI zipo nne jamani
mkuu me nauza tairi used najua namba zinazouzika kirahisi hiyo size 19 haziuziki haraka. zingekuwa 14,15 au 16 watu wangezichukua chap. fanya fanya tufanye biashara.
 
mkuu me nauza tairi used najua namba zinazouzika kirahisi hiyo size 19 haziuziki haraka. zingekuwa 14,15 au 16 watu wangezichukua chap. fanya fanya tufanye biashara.
Ebu nipigie basi ni pm namba yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom