Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars Maboresho) inashuka kwenye dimba la CCM KIRUMBA Mwanza kuvaana na timu ya Taifa ya Rwanda Amavubi) kuanzia saa 10:30 walopo Kirumba tusaidiane kuwajulisha wale ambao hawapo uwanjani hapa.
Azam two ndo inaonesha game live.Azam wako hapa uwanjani so sijui ni ni chanel namba ngapi?!
Ngap ngap ad saiv