hatimae mapato ya mechi zilizochezwa na ivory coast na taifa stars
zimeeingizwa Million 416 na IVOEY COAST NA RWANDA SH MIL 60
TUNASHUKURU KWA MAPATO HAYA TFF;NATUMAINI KAMA PANGA SANA LIMEPIGWA MECHI YA RWANDA
bongo tambarale wadau nauhakika tenga akimaliza muda wake utasikia anagombea ubunge, nadhani anakusanya ruzuku kwanza za kutoa takrima wakati wa kampeni