Taifa stars vs Ivory Coast - 416mil; Rwanda vs Ivory Coast -60mil

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
hatimae mapato ya mechi zilizochezwa na ivory coast na taifa stars
zimeeingizwa Million 416 na IVOEY COAST NA RWANDA SH MIL 60
TUNASHUKURU KWA MAPATO HAYA TFF;NATUMAINI KAMA PANGA SANA LIMEPIGWA MECHI YA RWANDA
 
Wiki nzima kuhesabu Million 416 tu? Hii yote janja janja/kufunika funika mahesabu
 
nyie acheni hii nchi tamu anaeihama hana hamu
 
bongo tambarale wadau nauhakika tenga akimaliza muda wake utasikia anagombea ubunge, nadhani anakusanya ruzuku kwanza za kutoa takrima wakati wa kampeni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom