Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,890
- 37,987
Moja hiyo ya metachaPenat ngapi wamenyimwa Hawa jamaa
Moja hiyo ya metachaPenat ngapi wamenyimwa Hawa jamaa
Ata ya yule beki namba mbili pia ilikua tutaMoja hiyo ya metacha
Mnoga Yes, maana hakuwa na mpiraAta ya yule beki namba mbili pia ilikua tuta
Na ile vile vile mpira ni wahovyo yani kama timu iliyookotana mtaani.Mnoga Yes, maana hakuwa na mpira
Mpe heshima mpigaji ule mpira umedundaKipa bora huwezi kumfunga kijinga vile
Kibonde wakati yupo juu yetu fifa ranksAaah tunacheza na vibonde sana,kipa wa Africa ya kati amefungwa goli la kijinga sana
Huyu Dg anafunga sana magoli sema haufuatiliiKwa kipa makini humfungi kijinga vile,golikipa hana timing
Namba ngapi? Central Africa hawezi kuwa juu yetuKibonde wakati yupo juu yetu fifa ranks
Npo hapa uwanjan Kila mtu amebak mdomo wazHivi hawa marefa wa Tanzania wanafikiria kutengeneza CV ya kimataifa kweli? Yani kipa anadaka miguu ya mchezaji wazi wazi anapeta? Yaani hawana tofauti na waamuzi wa ngumi za vitasa