Taifa stars vs Central African Republic inaanza saa ngapi?

Namba ngapi? Central Africa hawezi kuwa juu yetu
Screenshot_20220323-214529.jpg

Huyo Hapo 130 Tz 132...bado hauamini au
 
Tanzania huenda ikawa ni nchi ya kwanza afrika kwa kuwa na squad inayoundwa na wachezaji toka ligi ya ndani kwa % kubwa..akina Nyoni wetu hawa tunawahukumu kwa kuwalazimisha wawafunge DRC au Algeria zenye lineups zote kutoka ulaya..hivi sisi watz tuna akili kweli?

Wewe fikiria watu kama Mayele, Djuma, Bwalya si tu hawana namba, bali hawafikiri hata kuitwa kikosini pale DRC..tusisusie kushangilia nyota wetu, maana hatuna nyota kwngne..
 
Back
Top Bottom