Taifa stars vs Central African Republic inaanza saa ngapi?

Kim Poulsen bhana! Sasa ndiyo Maproo gani hawa aliotuletea! Mfano ni hiyo Adi Yusuph! Mara zote akipewa nafasi ya kucheza, anaishia tu kuruka ruka kule mbele! Hakuna kitu!

Kimsingi kocha ameharibu kabisa mfumo wa timu! Kwa hizi dk 45 za mwanzo, naweza kusema Taifa Stars imecheza mpira wa hovyo mpaka basi! Yaani wachezaji wanakimbia kimbia tu! Upangaji gani huu wa kikosi!
 
Hivi hawa marefa wa Tanzania wanafikiria kutengeneza CV ya kimataifa kweli? Yani kipa anadaka miguu ya mchezaji wazi wazi anapeta? Yaani hawana tofauti na waamuzi wa ngumi za vitasa
Npo hapa uwanjan Kila mtu amebak mdomo waz

Marefa wa Bongo n wa hapa hapa mkuu. CV Yao kubwa kuchezesha simba na yanga

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom