Taifa stars 4:1 Harambee stars

Hapa lazima mgetutandika...Hebu Imagine mshtuko wa Taifa Stars kupitisha Barabara Kama hizi, so kwa hasira lazi.a wangefanya ma bo Liwe funzo kwa CCM

Wakaanza hapa EAC Biggest and busiest Airport



Wakaingia Uhuru highway kwa mshtuko mkubwa kwa vile wamezoea barabara hovyo kule Dar


Wakapitia Eastern bypass labda Hii hapa ama


Wakapitia Thika Road wakamaka kwa kukenua mdomo
 
Shemeji mumetiwa aibu nyumbani kwenu haya mengine unajifariji πŸ˜‚
 
Kila siku chache kabla ya mechi, tutakuwa tunapea nyinyi tausi.
Teh teh ti hii
Kumtania mtani wako ni raha na murua kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…