Taifa Linaelekea Wapi Kielimu??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa Linaelekea Wapi Kielimu???

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SolarPower, Mar 2, 2012.

 1. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne 2011 yanaonyesha kuwa asilimia 92.1 ya wanafunzi 426,314 waliofanya mitihani hiyo wamepata Div 0 na Four? Je tunaelekea wapi kama Taifa???
   
Loading...