Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,803 Reaction score 40,407 Dec 28, 2019 #21 Anton mwita said: Tupe udhibitisho wa hiyo hoja yako.Hizo ni bla bla za wale wapiga kelele. Click to expand... Kazi kuimba mapambio tu, CAG akisema fedha hazionekani mnamfukuza kazi halafu unatafuta uthibitisho wa nini? Wakati wa KIKWETE uthibitisho ulitoka wapi kama siyo taasisi zilizokuwa huru? Mnazuia watu kuandika uozo wenu halafu mnajifanya wasafi? Sent using Jamii Forums mobile app
Anton mwita said: Tupe udhibitisho wa hiyo hoja yako.Hizo ni bla bla za wale wapiga kelele. Click to expand... Kazi kuimba mapambio tu, CAG akisema fedha hazionekani mnamfukuza kazi halafu unatafuta uthibitisho wa nini? Wakati wa KIKWETE uthibitisho ulitoka wapi kama siyo taasisi zilizokuwa huru? Mnazuia watu kuandika uozo wenu halafu mnajifanya wasafi? Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,932 Reaction score 34,916 Dec 28, 2019 #22 Zaidi ya 98% ya watu weusi hawana akili. Akili Tumbo Tumbo Tu.