Anton mwita
Member
- Dec 24, 2019
- 30
- 16
Tusipojenga taasisi imara ni bure ukomo ukifika yatajirudiaTaifa la Tanzania kwa miaka ya hivi karibu naweza kusema limekaa mguu sawa.Limekaa mguu sawa kutokana na lilivyo sasa ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Taifa lilinuka rushwa,wizi wa Mali za umma,uzembe kwa watumishi wa umma,tena uliokidhiri.Haikuwa ajabu mfanyakazi kuingia kazini saa 2:30 asubuhi saa 4:00 asubuhi chai mpaka saa 7:00 mchana,baada ya hapo safari ya kwenda kutanua huanza.
Taifa limekaa mguu sawa hata wale tuliowazoea kwa maneno ya kizalendo Leo wamegeuka kuwa vibaraka wa mabeberu.
Kipindi hicho wanalalamika nyuma ya pazia walikuwa wanaiba na kufaidi Mali za umma.Kipindi ambacho walisema serikali imeoza ,leo serikali imesimama imara wanasema inavunja haki za binadamu,hakika nchi sasa imesimama mguu sawa.
Wezi halisi sasa tumewatambua ,Mh rais tunaomba uendeleze msimamo imara na dhabiti bila kuyumba..
Daima tuko nyuma yako,atakayekuchafua tutakusafisha kwa njia yoyote.2020 twende na Magufuli
Simple mathematics dogo ufisadi na rushwa kuanzia 2005 had I 2015 haukufika tri 1,Taifa la Tanzania kwa miaka ya hivi karibu naweza kusema limekaa mguu sawa.Limekaa mguu sawa kutokana na lilivyo sasa ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Taifa lilinuka rushwa,wizi wa Mali za umma,uzembe kwa watumishi wa umma,tena uliokidhiri.Haikuwa ajabu mfanyakazi kuingia kazini saa 2:30 asubuhi saa 4:00 asubuhi chai mpaka saa 7:00 mchana,baada ya hapo safari ya kwenda kutanua huanza.
Taifa limekaa mguu sawa hata wale tuliowazoea kwa maneno ya kizalendo Leo wamegeuka kuwa vibaraka wa mabeberu.
Kipindi hicho wanalalamika nyuma ya pazia walikuwa wanaiba na kufaidi Mali za umma.Kipindi ambacho walisema serikali imeoza ,leo serikali imesimama imara wanasema inavunja haki za binadamu,hakika nchi sasa imesimama mguu sawa.
Wezi halisi sasa tumewatambua ,Mh rais tunaomba uendeleze msimamo imara na dhabiti bila kuyumba..
Daima tuko nyuma yako,atakayekuchafua tutakusafisha kwa njia yoyote.2020 twende na Magufuli
Simple mathematics dogo ufisadi na rushwa kuanzia 2005 had I 2015 haukufika tri 1,
Awamu hii ndani ya mwaka kumeibuliwa
Upotevu wa tshs 2.4 tril 2016/2018
Taifa la Tanzania kwa miaka ya hivi karibu naweza kusema limekaa mguu sawa.Limekaa mguu sawa kutokana na lilivyo sasa ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Taifa lilinuka rushwa,wizi wa Mali za umma,uzembe kwa watumishi wa umma,tena uliokidhiri.Haikuwa ajabu mfanyakazi kuingia kazini saa 2:30 asubuhi saa 4:00 asubuhi chai mpaka saa 7:00 mchana,baada ya hapo safari ya kwenda kutanua huanza.
Taifa limekaa mguu sawa hata wale tuliowazoea kwa maneno ya kizalendo Leo wamegeuka kuwa vibaraka wa mabeberu.
Kipindi hicho wanalalamika nyuma ya pazia walikuwa wanaiba na kufaidi Mali za umma.Kipindi ambacho walisema serikali imeoza ,leo serikali imesimama imara wanasema inavunja haki za binadamu,hakika nchi sasa imesimama mguu sawa.
Wezi halisi sasa tumewatambua ,Mh rais tunaomba uendeleze msimamo imara na dhabiti bila kuyumba..
Daima tuko nyuma yako,atakayekuchafua tutakusafisha kwa njia yoyote.2020 twende na Magufuli
Dogo. Kasome ripoti ya CAG ya 2017/2018Tupe udhibitisho wa hiyo hoja yako.Hizo ni bla bla za wale wapiga kelele.
K
Dogo. Kasome ripoti ya CAG ya 2017/2018
We unafikiri serikali jana ilijaribu kumteka ili wakanye naye chai?
Dogo siyo kila kitu ni vile kinavyoripotiwaAliwambia muache uongo na unafiki Ila bado hamuelewi.
Dogo siyo kila kitu ni vile kinavyoripotiwa
Umeyaona Yale mabanda ya mabati yaliyojengwa kwa milioni 100 kule songwe? Kwa taarifa yako ufisadi awamu hii upo juu kuliko awamu nyingine sema wameziba taarifa zisiwafikie wananchi!Tupe udhibitisho wa hiyo hoja yako.Hizo ni bla bla za wale wapiga kelele.
Hata kama 2 bln zinepotea ni sahihi maana ndege zipo,SGR inajengwa,bwawa la umeme liko mbioni,meli zinajengwa,watoto wanasoma bure kila mwezi almost 28 bln zinatumika,sasa hiyo hesabu yako sijui kma ina maamaana.