Mbowe ni mtu muovu sana alikuwa tayari kutoa roho za wanachama wake ili tu kumchafua mtukufu jpmWhere is Ben WatchEight?
HahaaaaaKuna nn komred?
Bado mnada wa kuuza rasilimali za Tanganyika unaendelea?
Huwezi mkabidhi mama wa kambo utajiri na watoto wa marehemu akuleleeπ
Lazima atawasomesha nambaπ€
Maombi ni ujinga wa kujiliwaza tu.Aikoooooo! Mimi namuulizaga mtoto wa mama mkwe π€£ π€£ π€£ π€£ . kama hii nchi kuna watu wanaifanyia maombi wanafunga kabisa, na makongamano ya kuliombea taifa na kila kitu lakini still tupo hiviπ’π’π’, Natamani hili taifa lisiwe linaombewa ili tuone kitakacho endelea kuwepoππ Akili zinaweza kurudi. Mnivumilie na mawazo yangu
Hahaha sio kweli bwanaManyoko
Kama life limekupita na kukupiga hasa, utatafuta kila vijisababu
Hata mimi nikipita ile mitaa ya masaki mwisho kule, na kuona majumba na migahawa ya kishua, huwa roho inaniuma sana, naanza kumlaumu mdingi, halafu tena nakumbuka sio makosa yake hata yeye alikuwa na ndoto kama zangu, na sasa ndoto zangu zimetimia kwenye ulu ule umasikini, naamua kununua kipande cha muwa na kujiliwaza
If you were born in poverty, and you decide to bring another human being into this world, there is more than 99% chance, he or she will also be trapped in that vicious cycle of poverty
Wanaoomba wenyewe chawa wale Mungu hawezi poteza mudaAikoooooo! Mimi namuulizaga mtoto wa mama mkwe π€£ π€£ π€£ π€£ . kama hii nchi kuna watu wanaifanyia maombi wanafunga kabisa, na makongamano ya kuliombea taifa na kila kitu lakini still tupo hiviπ’π’π’, Natamani hili taifa lisiwe linaombewa ili tuone kitakacho endelea kuwepoππ Akili zinaweza kurudi. Mnivumilie na mawazo yangu
Hivi,ulitueleza Ben Saanane yuko wapi?Mungu akulinde Jamuhuri yangu na watu wangu wa Tanzania
Mungu Tukumbuke watoto wako na Uzao wa Taifa lako siku moja tusije kuwa manamba ktk Taifa letu. Baba yetu na Rais wetu wa kwanza aliona leo na akalia sana na kumbukizi zinatuambia akikaribia kuipumzisha roho yake akasema Anatuombe wa Tanzania.
Mungu upo mbinguni Mungu wa ma babu zetu walio mwaga damu kwa ajili ya uhuru wetu na mipaka yetu Mungu wangeta kujimilikisha Taifa Hili na mipaka yake wangemiliki na hakuna angewauliza ila walikuwa wazalendo hata umautiππππ
Mungu macho yako katika Jamuhuri πΉπΏ ya watu wa Tanzania Mungu macho yako kwa wana Tanganyika Baba nalia πππ macho yako yawakumbuke watanganyika maana baba yao aliwaubiria umoja nakuacha laana wasipo taka umoja japo alisahau umoja huwo una lake jambo ikiwa mabadiliko makubwa hayatofanyika.
Mungu inua majemedari wa vita ktk majeshi yetu na vyombo vyetu vya usalama. Mungu inua watu majasiri watu wenye akili kubwa kulinda Taifa hili na mabadiliko makubwa yalio mbele ya dunia yetu.
Mungu wangu ilinde jamuhuri ya watu wa Tanzania Mungu usimuache mtu mwenye hila kuliongoza Taifa hili Mungu usiache watu wasio na jambo jipya kumfanyia Mam Tanzania kuliongoza Taifa hili.
Mungu tupe akili Watanzania kuunda Sheria na katiba ambayo Dunia itakuja kujifunza kwetu. Mungu tupe akili tengeneza Sheria na katiba ambayo hata nchi tukimpa shetani hatoweza kutuongoza ktk ushetani wake ila atauongoza kwa mujibu wa Sheria za jamuhuri yetu ππΉπΏ
Mungu upo mbinguni na umeona kile kinaendelea mioyoni mwao. Usiruhusu utajiri wetu na mali zetu kuwa Chakula cha wachache muone yule mtoto wa masikini kesho pia atakuwa Rais au waziri Mkuu Mungu mpe kukuta asali ya mama Tanzania na sio kibuyu tupuππΉπΏ
Kesho yetu ipo mikononi mwako Mungu. Kesho yetu ina kuangalia wewe Mungu.
ππΉπΏππΉπΏππΉπΏππ
Stupid!!!Ask someone who knows where Is he?????????????Where is Ben WatchEight?
Stupid!!!Ask someone who knows where Is he?????????????
Tanzania hii wala hauhitaji kutabiri kila kitu kipo wazi mbonaWewe threads zako zote huwa unatabiri mabaya kuhusu Mama Tanzania
When you see something is out of ur control ,shukuru and stay humble