Taifa la Madalali na Wachuuzi

Malalamiko ya ajira ni ya Dunia nzima!
Viwanda na kilimo, kwa teknolojia iliyopo Duniani, vinaweza kutoa ajira kwa asilimia ndogo sana ya binaadam. Biashara nayo inafuata nayo pia uhitaji wake unatoa asilimia ndogo sana ya ajira, sasa watu wanaobakia ndo kubeti, umalaya, uchizi na kadhalika!
NJIA PEKEE YA KUMUOKOA BINAADAM NI UJAMAA NA HAUEPUKIKI HUKO TUNAKOKWENDA!
 
Shejiyangu kaja kuniomba ushauri, eti mumewe anataka kuongeza mke wapili....πŸ˜‹
 
Vikwazo ni vingi mkuu. Kutoka kwa mamlaka. Leseni pia nyingi mno zaidi 7-11 hapo ni kiwanda cha maziwa. Kuna jamaa n mtanganyika alitoka Scandinavia uko. Mpk kaacha issue y kiwanda. Kaenda kuwekeza kwenye vizimba vya samaki kanda y ziwa uko.
Kazi ni kipimo cha utu
 
leo hii hata serikali iseme ianzishe mashamba ya kulima kwa vikundi kweli hawa gen Z unawaona wako tayari kweli waende manyara ndani vijijini pasipo na internet..wao wanapenda soft life ni wa vivu sana na sio waoga kuishi bila kazi
Uongo. Gen Z wamejaa vijijini mpaka mijini. Wanafanya kila kazi kuanzia dereva bodaboda, bajaji, kulima, kila kitu
Wewe kama una toto lako livivu usidhani Gen Z wote wapo hivyo. Endelea kuzubaa
 
Hilo unaloona watu hawafanyi na linahitajika ni fursa ifanyie kazi. Fungua wewe kiwanda ili wasiende China au Turkey wanunue kwako.
Watu wametafuta mitaji yao wamefungua maduka yao wewe unawaponda, fungua kiwanda uwauzie hio ni fursa. Huoni Wachina wanafungua viwanda hapa Tz?
 
Noma sana kinara wa darasa letu highest GPA anauza duka la mangi sahv nafkiri hua anajisonkola kwann hakutu join kuruka madebe enz hizo
 
Kuna mmoja amesha nisilimisha, kwanamna anavyo faham kujistiri....πŸ˜‹
Mabinti wanaojisitiri ni wazuri kinouma, wana vimanyoya flani hivi na rangi yao imetulia mno πŸ˜‹
 
leo hii hata serikali iseme ianzishe mashamba ya kulima kwa vikundi kweli hawa gen Z unawaona wako tayari kweli waende manyara ndani vijijini pasipo na internet..wao wanapenda soft life ni wa vivu sana na sio waoga kuishi bila kazi
Inaanzisha kweli? Mana kwenye makaratas hela kibao ukija graund huzioni. Watu wanazipiga, na sio sir tena
 
Mkuu unamawazo kama yangu, jamaa fulan don wa Rockcity nikawa napiga naye story Yan kwa uwezo, wake afunguwe kiwanda hata Cha kuchakat karanga,hila mwamb anawaza kujenga frem
Kiwanda nchi hii? Unazijua siasa zilizopo kwa wenye viwanda?
 
Kiwanda nchi hii? Unazijua siasa zilizopo kwa wenye viwanda?
Mkuu kiwanda hinawezekan vinzuli tuu kwa uchakataji wa nafaka mfano unga,Mchele,pamoja na kalanga Mimi nilimpa wazo la kalanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…