Taifa la Israel (Wana Israel) Halirogeki?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,483
Reaction score
167,064
"Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!" = > HESABU 23 : 23


 
Badala ujivunie mkwawa ama kinjekitile unajivunia huyo msyria yakobo?
 
" Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, ni mambo gani aliyoyatenda Mungu! "
= > HESABU 23 : 23





Kiongozi, yalimshinda jibril, wataweza hawa makafir wa kiislamu.
 
Hapa pananukia harufu ya matusi na kejeli mda si mrefu....wenye kupigania Israel vs Mecca...
 
hapa ngoja aje bi mkubwa Foxy na matusi yake!!!

Hapa washaanza, sijui Mungu gani ambae huwaruhusu kumdhihaki mwenzie kiimani!!! Shame up on them.......Yatendeni mambo yote pasipo manung'uniko na mafarakano....
 
muafrika mweusi mpaka ubongo!yakobo ndo nini na israel nini?halafu hicho kitabu kiliandikwa na nani?just another fale ta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…