Taifa changa

joramjason

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Messages
426
Points
195

joramjason

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2011
426 195
Jamani wana JF naomba ufafanuzi hii statment ya taifa changa toka tunapata uhuru now ni miaka 50 bado tuajiita taifa changa. Mi nadhani hili taifa ni mbilikimo tu but si changa tena or labda tuna viongozi wachanga. Nawasilisha
 

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Messages
4,741
Points
1,225

uporoto01

JF-Expert Member
Joined May 23, 2008
4,741 1,225
Hamna cha Taifa changa, Namibia/South Africa watasema nini tuwaite mimba inayoyarajiwa kuzaliwa ? hii nchi kwa kweli haina watu wazalendo kwa kifupi haina watu.Ukiwapa nchi hii hii Waswisi au wakorea baada ya miaka kumi unaweza kuishangaa kwa hatua iliyofikia tunaweza kuwa tunazikopesha nchi jirani na inabidi tukatae maombi mengine ya Visa kwa jinsi kila mtu anavyotaka kuja hapa.
 

Forum statistics

Threads 1,391,494
Members 528,416
Posts 34,082,631
Top