Tunatoa huduma zifuatazo; - Tuition kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha sita - kufundisha QT na wanafunzi wanaorudia mitihani - kufundisha wanafunzi wanaojiandaa kuingia kidato cha tano (pre - form five) - vilevile tunafundisha kiingereza cha kuongea na kuandika (english course) Tunapatikana Kinondoni Mwananyamala mkabala na Mahakama!
Mawasiliano;
0754 895 321
0653 250 566