Taharuki NSSF

Taharuki NSSF

Starton

Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
18
Reaction score
14
Leo imezuka taharuki NSSF makao makuu pale wazee wastaafu walipokusanyika kudai pension yao ya mwezi January ambapo fedha yao kwa utaratibu mpya zinaenda kwenye benki zao walipofungua akaunti zao.Akaunti zilifunguliwa wakati wa uhakiki hivi karibuni.

Wazee wale kila mmoja alikuwa akiongea lake wengine wakiwa nje ya ofisi ghorofa ya 10 wakitaka waruhusiwe kuingia ndani huku wakiambiwa wasubiri.

Walikuwa pale kuanzia majira ya saa 4 hadi saa saba alipojitokeza mfanyakazi mwananamama akiwaambia wote wakusanyike pamoja ghorofa ya 4 awape maelezo kwa pamoja.

Kule waliambiwa ni taratibu tu za kibenki lakini fedha yao itaenda kwamba wao Nssf walishapeleka NBC na CRDB .Utaratibu wa kuhamishia benki zingine ni wa kibenki.

Sasa kwa hili lina ukakasi kwa sababu Nssf walitakiwa watoe taarifa mapema kwa ujumla kwani vyombo vya habari vipo vingi tu. Sasa wastaafu waliopo mikoani nao waje Dar kupata ufafanuzi ?

Jirekebisheni Nssf.Kwa maneno niliyoyasikua leo kwa wazee wale, hakika mnawajengea chuki na serikali yao bila sababu.
 
Leo imezuka taharuki NSSF makao makuu pale wazee wastaafu walipokusanyika kudai pension yao ya mwezi january ambapo fedha yao kwa utaratibu mpya zinaenda kwenye benki zao walipofungua akaunti zao.Akaunti zilifunguliwa wakati wa uhakiki hivi karibuni.
Wazee wale kila mmoja alikuwa akiongea lake wengine wakiwa nje ya ofisi ghorofa ya 10 wakitaka waruhusiwe kuingia ndani huku wakiambiwa wasubiri.Walikuwa pale kuanzia majira ya saa 4 hadi saa saba alipojitokeza mfanyakazi mwananamama akiwaambia wote wakusanyike pamoja ghorofa ya 4 awape maelezo kwa pamoja.

Bado ni uonevu sababu hele ikiingia benki siku hizi makato yamekuwa makubwa hivyo watapata pungufu ya waliozoea kupata
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Taharuki unajua maana yake?

Hata kama lugha ina walakini lakini muhimu ni kwamba jambo lenyewe lilikuwepo au halikuwepo.Nimasema hivyo kwa sababu yameshajitokeza mambo mengi nssf ambayo ni usumbufu kwa wazee na wanadhalilika.Mwaka jana palishaandikwa hapa kuwa wazee walicheleweshewa pensheni na wakati wanatafuta majibu mfanyakazi mmoja tunaambiwa akatoa kauli kwa wale wazee kuwa wanasaidiwa tu.Kauli ambayo ni ya ovyo mbaya na chafu kwa watu wazima wale.Usidhani taharuki ni mpaka watu wachapane ngumi na viboko.
 
Leo imezuka taharuki NSSF makao makuu pale wazee wastaafu walipokusanyika kudai pension yao ya mwezi january ambapo fedha yao kwa utaratibu mpya zinaenda kwenye benki zao walipofungua akaunti zao.Akaunti zilifunguliwa wakati wa uhakiki hivi karibuni.
Wazee wale kila mmoja alikuwa akiongea lake wengine wakiwa nje ya ofisi ghorofa ya 10 wakitaka waruhusiwe kuingia ndani huku wakiambiwa wasubiri.Walikuwa pale kuanzia majira ya saa 4 hadi saa saba alipojitokeza mfanyakazi mwananamama akiwaambia wote wakusanyike pamoja ghorofa ya 4 awape maelezo kwa pamoja.
Kule waliambiwa ni taratibu tu za kibenki lakini fedha yao itaenda kwamba wao Nssf walishapeleka NBC na CRDB .Utaratibu wa kuhamishia benki zingine ni wa kibenki.
Sasa kwa hili lina ukakasi kwa sababu Nssf walitakiwa watoe taarifa mapema kwa ujumla kwani vyombo vya habari vipo vingi tu. Sasa wastaafu waliopo mikoani nao waje Dar kupata ufafanuzi ?
Jirekebisheni Nssf.Kwa maneno niliyoyasikua leo kwa wazee wale, hakika mnawajengea chuki na serikali yao bila sababu.
PSSSF ilisema itwalipa wastaafu Mwezi Januari waliostaafu kuishia 30/8/2018 lakini mpaka leo hawajawalipa kumbukeni Hawa Wastaafu hawana kipato na wamelitumikia Taifa hili kwa uaminifu na nyie mtakuja kuwa Wastaafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo imezuka taharuki NSSF makao makuu pale wazee wastaafu walipokusanyika kudai pension yao ya mwezi january ambapo fedha yao kwa utaratibu mpya zinaenda kwenye benki zao walipofungua akaunti zao.Akaunti zilifunguliwa wakati wa uhakiki hivi karibuni.
Wazee wale kila mmoja alikuwa akiongea lake wengine wakiwa nje ya ofisi ghorofa ya 10 wakitaka waruhusiwe kuingia ndani huku wakiambiwa wasubiri.Walikuwa pale kuanzia majira ya saa 4 hadi saa saba alipojitokeza mfanyakazi mwananamama akiwaambia wote wakusanyike pamoja ghorofa ya 4 awape maelezo kwa pamoja.
Kule waliambiwa ni taratibu tu za kibenki lakini fedha yao itaenda kwamba wao Nssf walishapeleka NBC na CRDB .Utaratibu wa kuhamishia benki zingine ni wa kibenki.
Sasa kwa hili lina ukakasi kwa sababu Nssf walitakiwa watoe taarifa mapema kwa ujumla kwani vyombo vya habari vipo vingi tu. Sasa wastaafu waliopo mikoani nao waje Dar kupata ufafanuzi ?
Jirekebisheni Nssf.Kwa maneno niliyoyasikua leo kwa wazee wale, hakika mnawajengea chuki na serikali yao bila sababu.
Wakachukue bungeni!
 
Hilo neno Taharuki litoe mana washaambiwa ni utaratibu wa kibenki lakin wanalipwa pesa zao

Sent using Jamii Forums mobile app

yaan wewe!mpambe wa ccm..kwa kila kitu...hunaga ht muda wa kureason..!nadhan huna ndugu mstaafu..ungewaona benk za posta wanaojilundika...wanatia huruma wamekosa matumaini kbs..alafu wa unakuj nA mambo ya ajabu ajabu hapa🤕🤕🤕🤕🤕
 
yaan wewe!mpambe wa ccm..kwa kila kitu...hunaga ht muda wa kureason..!nadhan huna ndugu mstaafu..ungewaona benk za posta wanaojilundika...wanatia huruma wamekosa matumaini kbs..alafu wa unakuj nA mambo ya ajabu ajabu hapa
We mama tafadhali futa kauli yako mimi sio mpambe wa ccm..hao ndugu wastaafu ninao hata mzaz mstaafu ninae ila kulundikana sio sababu kubwa kikubwa wapate stahiki zao kwa muda unaotakiwa huko kulundikana sababu ya uwingi wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo imezuka taharuki NSSF makao makuu pale wazee wastaafu walipokusanyika kudai pension yao ya mwezi January ambapo fedha yao kwa utaratibu mpya zinaenda kwenye benki zao walipofungua akaunti zao.Akaunti zilifunguliwa wakati wa uhakiki hivi karibuni.

Wazee wale kila mmoja alikuwa akiongea lake wengine wakiwa nje ya ofisi ghorofa ya 10 wakitaka waruhusiwe kuingia ndani huku wakiambiwa wasubiri.

Walikuwa pale kuanzia majira ya saa 4 hadi saa saba alipojitokeza mfanyakazi mwananamama akiwaambia wote wakusanyike pamoja ghorofa ya 4 awape maelezo kwa pamoja.

Kule waliambiwa ni taratibu tu za kibenki lakini fedha yao itaenda kwamba wao Nssf walishapeleka NBC na CRDB .Utaratibu wa kuhamishia benki zingine ni wa kibenki.

Sasa kwa hili lina ukakasi kwa sababu Nssf walitakiwa watoe taarifa mapema kwa ujumla kwani vyombo vya habari vipo vingi tu. Sasa wastaafu waliopo mikoani nao waje Dar kupata ufafanuzi ?

Jirekebisheni Nssf.Kwa maneno niliyoyasikua leo kwa wazee wale, hakika mnawajengea chuki na serikali yao bila sababu.
kikokotoo kimefutwa lkn bado wanaleta magumashi.... nipeni namba ya waziri
 
yaan wewe!mpambe wa ccm..kwa kila kitu...hunaga ht muda wa kureason..!nadhan huna ndugu mstaafu..ungewaona benk za posta wanaojilundika...wanatia huruma wamekosa matumaini kbs..alafu wa unakuj nA mambo ya ajabu ajabu hapa🤕🤕🤕🤕🤕

😱😱😱😉😉benk ya posta tena si mmeambiwa nbc na crdb?????? Uongo bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom