Hahahahaha acha madongomkija na Mabegi yenu mnaliaga pale ubungo.alaf hapa mnajifanya wajanja..
Mwanaume wa dar katika ubora wako...kila kitu serikali mnashindwa kuchukua fimbo na kuwacharaza hao watotoHali hii ni mbaya serekali inabidi kulifanyia kazi suala hili la hawa vijana na matukio kama hayo yakuvamia nyumba/mtaa usiku na kupora mali.
Huko Kitunda asilimia kubwa ya wakaazi ni hao ndugu zako wa Musoma, acha kujisifu Kihaya wewe.Watuletee hivyo vitoto maeneo ya nyakato Musoma waone kama hatugawana nyama zao.
Hili suala c mzaha kama mnavyochukulia watu wanapoteza maisha na mali zao. Hata kama wewe c wa Dar ipo siku litakugusa kwa namba moja ama nyingine.Mwanaume wa dar katika ubora wako...kila kitu serikali mnashindwa kuchukua fimbo na kuwacharaza hao watoto