Taharuki maeneo ya Kitunda Machimbo

Taharuki maeneo ya Kitunda Machimbo

simon mato

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
926
Reaction score
485
Ndugu wana JF,

Risasi zinarindima maeneo haya ya kitunda huku vyanzo vya taarifa vikisema kuwa ni PANYARODI tusubirie updates kamili
 
Tulia ulete habari kamili usilete mambo nusu nusu... Anyways poleni sana.
 
Inaonekana Polisi walikuwa wanatumia mtutu kuwatawanya
hao jamaa kwa jinsi wanavyosumbua siku wakipata silaha za moto kuwamaliza itachukuwa mda,ila lawama naipeleka kwa wakaaji wa dar yaani ni waoga mithili ya fisi.
Hivi kwa tukio la namna hiyo wanamme wote tuseme wa mtaa mzima wakapiga yowe na kuvizunguka hivyo vitoto,unadhani havitalia kabla hata havijaguswa?.
mungu wao siku moja awalete hapa musoma wao bila kujijua wakidhani wako huko walikozoea.
 
Wanaume wa dar bhana!! Wanachojua nikunywa supu ya pweza, chips nakunenepesha vifua, wakisikia panya road wanakimbia
 
Poleni sana. . kwel hao jamaa vichwa ngumu kwa mazoez yale ya mamwera lakini jamaa bado wanakaza
 
Wanaume wa dar bhana!! Wanachojua nikunywa supu ya pweza, chips nakunenepesha vifua, wakisikia panya road wanakimbia
Mkuu chakushangaza wanaume wa dar wanajisifia kuwa na kifua wao wanaita six pack.sasa sijui hicho ni kwa ajili ya nini badala ya mambo ya kiusalama.
 
hao jamaa kwa jinsi wanavyosumbua siku wakipata silaha za moto kuwamaliza itachukuwa mda,ila lawama naipeleka kwa wakaaji wa dar yaani ni waoga mithili ya fisi.
Hivi kwa tukio la namna hiyo wanamme wote tuseme wa mtaa mzima wakapiga yowe na kuvizunguka hivyo vitoto,unadhani havitalia kabla hata havijaguswa?.
mungu wao siku moja awalete hapa musoma wao bila kujijua wakidhani wako huko walikozoea.
Watuletee hivyo vitoto maeneo ya nyakato Musoma waone kama hatugawana nyama zao.
 
Mbona kitunda wamejaa wakurya tu bhandugu..mpaka mbunge wa kule ni Mwita waitara naye mkurya..
 
hao jamaa kwa jinsi wanavyosumbua siku wakipata silaha za moto kuwamaliza itachukuwa mda,ila lawama naipeleka kwa wakaaji wa dar yaani ni waoga mithili ya fisi.
Hivi kwa tukio la namna hiyo wanamme wote tuseme wa mtaa mzima wakapiga yowe na kuvizunguka hivyo vitoto,unadhani havitalia kabla hata havijaguswa?.
mungu wao siku moja awalete hapa musoma wao bila kujijua wakidhani wako huko walikozoea.
Mbona nyinyi makaburu wachache wanawasumbua kwa kuchukua madini yetu na mpo kimya.
 
watu wanavochagia,kumbe hawapajui!jamani kitunda ni MGODINI mpakani mwa Mbeya na Tabora.
 
Back
Top Bottom